Msemaji wa Kremlin asema Russia haina mpango wa “kutwaa” eneo la Donbass
2021-05-14 08:58:12| CRI

Msemaji wa Rais wa Russia Dmitry Peskov amesema Russia haina mpango wa “kutwaa” eneo la Donbass lililoko mashariki mwa Ukraine, lakini msimamo wa Russia wa kulinda maslahi ya watu wanaoongea kirusi kwenye eneo hilo haubadiliki.