China na Marekani zapaswa kushirikiana kuhimiza utekelezaji wa kipindi cha kwanza
2021-05-27 19:11:01| CRI

Msemaji wa Wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng leo amesema, kipindi cha kwanza cha makubaliano ya kibiashara kati ya China na Marekani kitanufaisha China, Marekani hata dunia nzima.

Amesema pande hizo mbili zinapaswa kushirikiana kutoa mazingira na masharti, kuhimiza utekelezaji wa makubaliano hayo