Assad ashinda uchaguzi wa Syria
2021-05-28 09:44:41| CRI

 

 

Bunge la Syria limetangaza jana kuwa Rais Bashar al-Assad amechaguliwa tena kwa muhula wake wa nne wa urais wa miaka saba.

Spika wa bunge la Syria Hamoudeh Sabbagh amesema rais Assad ameshinda kwa kupata asilimia 95.1 ya kura.