Matokeo ya Sensa ya Kitaifa ya Saba ya Mkoa wa Xinjiang yaliyotangazwa hivi karibuni yameonesha kuwa, idadi ya watu wanaoishi mkoani Xinjiang imezidi milioni 25.85, kiasi ambacho kimeongezeka kwa milioni 4.03 kikilinganishwa na sensa hiyo ya sita ya mwaka 2010, na kiwango cha ongezeko ni asilimia 18.52, wastani wa ongezeko umefika asilimia 1.71.