Idadi ya watu wa mkoa wa Xinjiang wanaoishi mijini yazidi asilimia 56
2021-06-16 10:36:29| Cri

Idadi ya watu wa mkoa wa Xinjiang wanaoishi mijini yazidi asilimia 56_fororder_1 a

Takwimu za Sensa ya Saba ya Kitaifa ya Idadi ya Watu wa China zilizotangazwa hivi karibuni zimeonesha kuwa, kati ya idadi ya jumla ya wakazi wanaoishi mijini katika mkoa unaojiendesha wa kabila la wauygur wa Xinjiang, ile ya watu wanaoishi mijini imezidi milioni 14.6, kiasi ambacho kimezidi asilimia 56.

Ikilinganishwa na sensa ya kitaifa ya sita ya mwaka 2010, idadi hiyo imeongezeka kwa milioni 5.27, ikiwa ni ongezeko la asilimia 13.73.