Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 100 ya CPC wafanyika Beijing
2021-07-01 09:10:57| CRI

Xi Jinping: Uongozi imara wa CPC unatakiwa kulindwa

Mkutano wa maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika leo Julai Mosi katika Uwanja wa Tian’anmen mjini Beijing. Katibu mkuu wa Kamati kuu ya CPC, rais wa China na mwenyekiti wa kamati kuu ya kijeshi ya CPC Xi Jinping amehudhuria na kuhutubia mkutano huo.

Wajumbe kutoka vyama mbalimbali vya kidemokrasia, Shirikisho la viwanda na biashara la China na wazalendo wasio wanachama wa chama chochote wametoa pongezi kwa pamoja. Watu zaidi ya elfu sabini wameshiriki kwenye mkutano huo.

Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 100 ya CPC wafanyika Beijing_fororder_1127614347_1625102478457_title0h

Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 100 ya CPC wafanyika Beijing_fororder_1127614286_1625101237040_title0h

Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 100 ya CPC wafanyika Beijing_fororder_1127614104_1625100718323_title0h