Mchakato wa kutimiza ustawi tena wa taifa la China haupinduki
2021-07-01 10:48:10| cri

Mchakato wa kutimiza ustawi tena wa taifa la China haupinduki_fororder_1127614524_16251035067921n

Rais Xi Jinping wa China leo alipohutubia mkutano mkuu wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China, amesema China imepita vipindi vya kusimama, kutajirika na kuwa na nguvu kubwa, na sasa mchakato wa kutimiza ustawi tena wa taifa la China haupinduki.