Mabaki ya jengo lililoporomoka huko Miami kubomolewa
2021-07-05 15:04:21| Cri

Taarifa iliyotolewa na mkuu wa kaunti ya Miami-Dade ya Jimbo la Florida, Marekani, Daniella Levine Cava, imesema mabaki ya jengo lililoporomoka yatabomolewa.