China yafanya sherehe ya kuadhimisha miaka 70 ya ukombozi wa Tibet
2021-08-19 11:42:20| Cri

China imefanya sherehe kubwa ya kuadhimisha miaka 70 ya ukombozi wa Tibet Alhamisi wiki hii. Sherehe hiyo imefanyika katika mji mkuu wa mkoa wa Tibet, Lhasa. Wakati sherehe ilipoanza, bendera ya taifa ya China ilipandishwa na watu wakaimba wimbo wa taifa.