Umuhimu wa wanawake katika kuhimiza maendeleo ya maisha ya makabila madogo madogo
2021-08-31 09:30:56| Cri

Umuhimu wa wanawake katika kuhimiza maendeleo ya maisha ya makabila madogo madogo

Nchi nyingi duniani zina watu wa makabila mbalimbali ambao tunaweza kukadiria kwamba wanafikia milioni 476 wakichukua asilimia 6.2 ya idadi ya jumla ya watu wote duniani. Watu wa makabila wanakuwa na tamaduni anuai zenye upekee mkubwa, lakini pia wana lugha zao na utaratibu au mtindo wao wa maisha ambao unajitofautisha na wengine. Lakini wengi wa watu hawa wa makabila hasa makabila madogo wanaishi kwenye umasikini… kipindi hiki cha Ukumbi wa Wanawake kitazungumzia maendeleo ya maisha ya watu wa makabila madogo hasa umuhimu wa wanawake katika mchakato huo.