Lazima neno lifuatwe, na ahadi izae matunda
2021-08-31 16:35:57| CRI

Lazima neno lifuatwe, na ahadi izae matunda_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huu wa mwalimu Confucius unatokana na kitabu cha the Analects of Confucius miaka elfu mbili iliyopita. Maana yake ni kuwa mtu anatakiwa kufuata ahadi yake. Waswahili wanasema “Ahadi ni deni”.