Matumizi ya maliasili kwa njia endelevu
2021-08-31 16:34:23| CRI

Matumizi ya maliasili kwa njia endelevu_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo wa kale, ulioandikwa katika kitabu cha historia cha kichina “ZizhiTongjian” (Kioo kizima kwa msaada wa utawala wa nchi kilichotungwa miaka 900 iliyopita). Unahimiza kuweka uwiano kati ya maendeleo na uhifadhi wa mazingira.