Watu wenye hekima hujiangalia kwenye kioo, mshumaa wa umma hauangazi kwa mtu binafsi
2021-08-31 16:31:40| CRI

Watu wenye hekima hujiangalia kwenye kioo, mshumaa wa umma hauangazi kwa mtu binafsi_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni mstari uliopo kwenye shairi la malenga Meng Jiao wa enzi ya Tang, China miaka elfu moja iliyopita, akimwelezea afisa hodari asiyejipatia faida binafsi.