Xi kuhudhuria mkutano wa wakuu wa BRICS
2021-09-08 10:52:48| cri

Kufuatia mwaliko wa waziri mkuu wa India Narendra Modi, rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano wa 13 wa wakuu wa nchi za BRICS utakaofanyika kesho kwa njia ya video.