Kama usipodhibiti mapungufu yako, basi yatakutawala mpaka ushindwe kabisa
2021-09-13 16:54:59|
CRI
Ni mstari wa shairi lililotungwa na mhenga wa enzi ya Qing, China Gong Zizhen, ukikemea vitendo vya ufisadi na rushwa kwani tunafahamu kuwa “rushwa ni adui wa haki”.