Xi afanya uchunguzi katika mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China
2021-09-14 15:10:04| cri

Rais Xi Jinping wa China jana amefanya ziara mji wa Yulin mkoani Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China.