Nafasi ya mwanamke katika sikukuu na sherehe mbalimbali
2021-09-15 14:16:27| CRI

Nafasi ya mwanamke katika sikukuu na sherehe mbalimbali_fororder_VCG111346381925

Siku ya 15 ya mwezi wa Nane kila mwaka kwa kalenda ya kilimo ya China, ni sikkukuu ya Zhong Qiu, ama Sikukuu ya Mwezi. Kwa mwaka huu siku hiyo ni tarehe 21 Septemba. Katika siku hii, familia hukutana, na kufurahia kwa pamoja mwezi mpevu angani na kula keki maalumu kwa ajili ya sikukuu hii, ambazo huitwa moon cake. katika kipindi hiki tutazungumzia zaidi nafasi ya mwanamke hususan katika sikukuu na sherehe mbalimbali, na pia tutakuletea vidokezo vya namna ya kupika keki ya mwezi.