China yatajwa kuinua kwa kiasi kikubwa imani ya nchi za Afrika ya kujitegemea na kujiamulia mambo
2021-09-16 10:49:31| CRI

China yatajwa kuinua kwa kiasi kikubwa imani ya nchi za Afrika ya kujitegemea na kujiamulia mambo_fororder_src=http___wx2.sinaimg.cn_crop.0.54.1738.966_006N4ALSgy1gmdueoxaz9j31ca0u01kx&refer=http___wx2.sinaimg

Kipindi kilichoko hewani sasa ni DARAJA kinachokujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing. Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu maendeleo ya China na ushirikiano wake na Afrika ulivyoongeza imani ya nchi za Afrika katika kujiamulia masuala yao zenyewe, lakini pia tutakuwa na mahojiano yaliyoandaliwa na Tom Wanjala wa CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.