Rais Xi asisitiza kujenga jumuiya ya SCO yenye hatma ya pamoja
2021-09-17 16:14:00| cri

Rais Xi Jinping wa China leo akihutubia mkutano wa 21 wa Baraza la Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai SCO kupitia njia ya video, amesisitiza kujenga jumuiya ya karibu yenye hatima ya pamoja ya (SCO) na kutoa mchango mkubwa kwenye amani iliyopo na ustawi wa pamoja duniani.