Rais wa China kuhudhuria na kuhutubia majadiliano ya kawaida ya Mkutano Mkuu wa UM
2021-09-20 16:09:57| CRI

Rais wa China kuhudhuria na kuhutubia majadiliano ya kawaida ya Mkutano Mkuu wa UM_fororder_华春莹

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying ametangaza kuwa rais Xi Jinping wa China atahudhuria majadiliano ya kawaida ya Mkutano Mkuu wa 76 wa Umoja wa Mataifa kwa njia ya mtandao, na kutoa hotuba muhimu.