Ukiweza kujirekebisha mwenyewe siku moja, na kufanya hivyo kila siku, basi utajirekebisha siku hadi siku
2021-09-20 10:15:39|
CRI
Sadakta! Unapojihimiza na kujitahidi kufanya jambo basi utapata maendeleo siku baada ya siku. Ni msemo unatokana na kitabu cha kale cha falsafa ya Confucious cha Kichina miaka elfu mbili iliyopita.