Lengo lisipowekwa, hakuna la kutimizwa
2021-09-20 10:16:57| CRI

Lengo lisipowekwa, hakuna la kutimizwa_fororder_Hadithi za Jadi

Mhenga wa China Wang Yangming alisema maneno haya miaka 500 iliyopita. Ni wazi kuwa kuweka lengo ni muhimu sana kwa mtu yeyote katika maisha yake. Je wewe una utaratibu wa kujiwekea malengo?