Kujivunia kuwa mkulima
2021-09-23 14:24:45| cri

Wakati rais Xi Jinping wa China alipofanya ziara nchini Costa Rica mwaka 2013, alitembelea nyumba ya mkulima wa kahawa anayeitwa Marco Zamora. Familia hiyo ilijivunia kuwa mwenyeji wa rais wa China. Lakini kitu cha thamani zaidi walichopat katika mkutano kati yao na rais Xi ni kwamba, rais huyo anajivunia kuzungumzia uzoefu wake wa kufanya kazi kijijini.