Habari kuhusu safari ya Bibi Meng Wanzhou kurudi nyumbani yafuatiliwa na kukaribishwa na watu wa China
2021-09-26 16:16:31| cri

Habari kuhusu safari ya Bibi Meng Wanzhou kurudi nyumbani yafuatiliwa na kukaribishwa na watu wa China_fororder_VCG111350698337

Habari kuhusu safari ya Bibi Meng Wanzhou kurudi nyumbani yafuatiliwa na kukaribishwa na watu wa China_fororder_VCG111350698408

Mkuu wa Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Bw. Shen Haixiong alisema tarehe 26 kuwa video ya moja kwa moja kuhusu safari ya Bibi. Meng Wanzhou ya kurudi nyumbani imepata mwitikio mzuri kutoka wanamtandao wa China, ambapo wanamtandao takriban milioni 400 wa China walibofya kitufe cha “Like” kwenye video hiyo, idadi ambayo imepita jumla ya watu nchini Marekani na Canada.

Bw. Shen alisema, takwimu hiyo imeonyesha nia na nguvu ya watu wa China. Tangu ndege iliyobeba Bibi. Meng ilipoingia kwenye anga ya China, video husika ya CMG ilipata watazamaji karibu milioni 430.