Watu wasio na ubinafsi wataona ulimwengu mpana zaidi huko nje
2021-09-27 15:30:14|
CRI
Huu ni mstari wa shairi ambao unafanya tutafakari na kujiuliza maswali kuwa Je, tunaishi katika zama yenye changamoto nyingi, lakini pia ni zama yenye fursa nyingi, jamii ya binadamu itaelekea wapi?