Kila tawi au jani huko nje linanigusa hisia yangu
2021-09-27 15:32:21| CRI

Kila tawi au jani huko nje linanigusa hisia yangu

Huu ni msemo wa kale wa China ambao unamaanisha kuwa maofisa wanapaswa kuwa na moyo wa kujali umma na kufanya mema bila ya kutegemea malipo yoyote. Ni msemo ambao unalingana na wa Kiswahili “Tenda wema nenda zako usingoje shukurani”.