Maelezo mafupi kuhusu riwaya ya Nakuruto
2021-09-28 09:20:40| cri

Riwaya ya Nakuruto iliandikwa na Clara Momanyi.  Maisha ya mhusika mkuu yaani Nakuruto ni yenye dhiki na ameona mengi mazuri na ya kutamausha katika uhalisia na katika ndoto. Hata hivyo kula, kunywa, kucheza, ushirika na vikoa vilikuwa nguzo kamili na gundi ilioleta mshikamano katika jamii.