Mtaalam wa kilimo wa Kenya aeleza matumaini yake juu ya ushirikiano kati ya Afrika na China
2021-09-30 14:55:51| cri

Mtaalam wa kilimo wa Kenya aeleza matumaini yake juu ya ushirikiano kati ya Afrika na China katika mambo ya kilimo_fororder_timg (2)

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu mtaalam wa kilimo wa Kenya kueleza matumaini yake juu ya ushirikiano kati ya Afrika na China katika mambo ya kilimo. Pia tutakuwa na sehemu ya pili ya mahojiano na Profesa Humprey Moshi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania.