Uongozi wa nchi una mbinu tofauti, lakini msingi ni kuwahudumia wananchi
2021-10-04 10:01:32|
CRI
Busara ya maneno haya ni kwamba Kiongozi anapaswa kuhudumia maslahi ya wananchi na kuwawezesha waone faida halisi. Ni sawa na waswahili wanavyosemna“Kiongozi bora ni yule anayejali watu wake, na kuwapatia mbinu bora za maendeleo”.