Ni msemo wenye busara kubwa unaokumbusha watu kuona mapungufu yao na kujifunza kutoka kwa wengine. Ni msemo ambao uliwahi kunukuliwa na rais Xi Jinping wa China alipokutana na walimu na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Peking, ambao pia unatukumbusha msemo wa kiswahili usemao “Kufanya kosa si kosa, kosa ni kurejea kosa”.