China na Afrika zasukuma mbele ushirikiano kwenye sekta ya anga ya juu
2021-10-07 11:43:29| CRI

Mtaalam wa kilimo wa Kenya aeleza matumaini yake juu ya ushirikiano kati ya Afrika na China katika mambo ya kilimo

Ni tarehe 10 ya mwezi wa 10, 2021 tunapokutana msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi hiki huwa na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, ripoti kuhusu China na Afrika zasukuma mbele ushirikiano kwenye sekta ya anga ya juu, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.