Huu ni msemo wa kale uliotolewa na Xun Zi, mtu ambaye ana hekima katika dola ya Zhao na ambaye alifuata falsafa ya Confucious. Xun Zi alitumia maji na meli kufananisha uhusiano kati ya mtawala na wananchi. msemo huu unashabihiana na ule wa wasawahili “Manahodha wengi chombo huenda mrama”.