Xi Jinping kuhudhuria Mkutano wa maadhimisho ya miaka 110 ya Mapinduzi ya Mwaka 1911
2021-10-08 09:50:28| CRI

Rais Xi Jinping wa China Jumamosi atahudhuria Mkutano wa maadhimisho ya miaka 110 ya Mapinduzi ya Mwaka 1911. Wakati huohuo, Xi atatoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ya Umma wa China mjini Beijing kesho asubuhi.

Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) litatangaza mkutano huo moja kwa moja.