Huu ni msemo uliopo kwenye kitabu maarufu cha jadi cha China, ambapo sentensi yake kamili inasema, “taifa lina vipimo vinne, ambavyo ni sheria, maadili, uadilifu na kujua aibu. Unasisitiza kuwa kama vipimo hivi vinne vikikosekana au hata kama ni kimoja tu, basi taifa linaweza kuwa hatarini. Pia kufuata na kuzingatia sheria zote husika kwa ukamilifu huku yakizingatiwa maadili.