Msemo huu wa kale unamaanisha kuwa kupata elimu ya juu sio kutafuta elimu ya vitabuni tu, bali kutafuta maadili pia. Wachina wanafananisha walimu ni kama mtunza bustani, na wanafunzi vijana ni kama maua kwenye bustani. Msemo huu unakaribiana na ule wa waswahili usemao “elimu ni bahari” ikimaanisha haina mipaka.