Xi kuhudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 tangu Jamhuri ya Watu wa China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa
2021-10-22 11:36:48| CRI

Rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 tangu Jamhuri ya Watu wa China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa na kutoa hotuba muhimu Jumatatu ijayo.