Wanawake wa vijijini wanavyojiendeleza
2021-10-22 08:12:02| CRI

Wanawake wa vijijini wanavyojiendeleza_fororder_VCG111242329106

Oktoba 15 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini, siku hii ina umuhimu wa kipekee kwa mwanamke, kwa sababu mwanamke na mtoto ndio wahanga wakuu katika majango yoyote ya kiasili ama ya kibinadamu. katika kipindi hiki chetu cha leo, tutazungumzia zaidi kuhusu suala hilo.