Huu ni msemo wa jadi wa China ambao unasisitiza matumizi salama ya chakula ili binadamu wawe na maisha bora. Bila ya chakula watu hawawezi kuishi sembuse kuishi maisha bora. Msemo huu unalingana na sentensi moja ya Kiswahili inayosema “Chakula bora huleta maisha bora”.