Rais Xi Jinping wa China kushiriki mkutano wa 16 wa kilele wa kundi la G20
2021-10-29 11:08:42| cri

Kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Italia Bw. Mario Draghi, rais Xi Jinping wa China atashiriki na kuhutubia mkutano wa 16 wa kilele wa kundi la nchi 20 (G20) utakaofanyika kuanzia Oktoba 30 hadi 31 kwa njia ya video.