Mavumbuzi ya Uchumi wa kigijitali wa China yaanza kuinufaisha Afrika
2021-11-04 10:59:17| CRI

Mavumbuzi ya Uchumi wa kigijitali wa China yaanza kuinufaisha Afrika_fororder_09fa513d269759ee3d714ee955b7721f6d22df40

Ni wakati mwingine tena msikilizaji tunapokutana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia muda kama huu siku ya jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi hiki kinakuwa na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, pia tunakuwa na ripoti pamoja na mahojiano. Ripoti yetu leo itahusu uvumbuzi wa kidijitali wa China waanza kuzinufaisha nchi za Afrika, na pia tutakuwa na sehemu ya pili ya mahojiano ya Tom Wanjala wa CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi na Dokta Sabella Kiprono, mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Masinde Muliro.