Huu ni msemo wenye maana ya kuwa kama unampenda mtoto wako, basi umwelekeze kuwa na maadili, na usipomfundisha maadili, basi humpendi kwa moyo, bali unamletea hasara kubwa.” Ni msemo unaofanana na wa Kiswahili “samaki mkunje angali mbichi” au “mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye”.