Naibu spika wa bunge la Afrika Kusini atarajia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Bairidi ya Beijing itaionyesha dunia sura bora ya China
2021-11-11 09:58:45| CRI

Naibu spika wa bunge la Afrika Kusini atarajia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Bairidi ya Beijing itaionyesha dunia sura bora ya China

Karibu msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Ripoti yetu ya leo itahusu Mashindano ya Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi yatakayofanyika hapa Beijing mwakani, ambapo Naibu spika wa bunge la Afrika Kusini amesema atarajia Michezo hiyo itaionyesha dunia sura bora ya China. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi ambayo yatahusu Mkutano wa Hali ya Tabianchi uliofanyika hivi karibuni.