Wanawake wachangia kwenye sekta ya vyombo vya habari
2021-11-12 09:22:18| CRI

Wasichana na wanawake wanajitahidi kuchangia maendeleo ya jamii kwa njia mbalimbali, na mchango wao kutambulika kwa kupata tuzo mbalimbali. kuna wanawake wanaofanya vema katika sekta mbalimbali, iwe ni katika sanaa, habari, uimbaji, na maeneo mengine. katika kipindi hiki, tutaangazia zaidi wanawake wanaofanya vizuri katika tasnia ya habari.