Ni vigumu kwa mtu mmoja kunyanyua kitu kizito, na ni rahisi kwa watu wengi kufika mahali haraka
2021-11-15 09:45:00|
CRI
Msemo huu wa wachina unasisitiza umoja na mshikamano ambao unafanana na wa waswahili kwamba “Kidole kimoja hakivunji chawa” au “Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu”.