Waziri Mkuu wa China Bw. Li Keqiang atashiriki kwenye Mazungumzo Maalum ya Baraza la uchumi wa dunia WEF kwa njia ya Video
2021-11-16 19:21:08| cri

 

 Waziri Mkuu wa China Bw. Li Keqiang atashiriki kwenye mazungumzo Maalum ya Kiuchumi ya Baraza la Uchumi  wa Dunia(WEF) na Viongozi wa Biashara wa Kimataifa. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Zhao Lijian ametoa taarifa hiyo leo.