Wazalishaji wa mvinyo wa Afrika Kusini watarajia kupanua soko lao nchini China
2021-11-18 15:09:07| CRI

Wazalishaji wa mvinyo wa Afrika Kusini watarajia kupanua soko lao nchini China_fororder_Ripoti-Mvinyo wa Afrika Kusini (2)

Ni wakati mwingine tena msikilizaji tunapokutana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia muda kama huu siku ya jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Ripoti yetu ya leo itahusu wazalishaji wa mvinyo wa Afrika Kusini wanatarajia kupanua soko lao hapa China, na mahojiano yetu ya leo kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi, yatahusu raia wa China wanaoishi na kufanya biashara katika nchi za Afrika Mashariki wanaweza kutuma na kupokea pesa bila masharti makali kama ilivyokuwa awali.