"Watoto kabla ya kitu Chochote"--Kulinda Haki za Watoto
2021-11-19 09:08:40| CRI

Tarehe 20 Novemba ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Haki za Watoto. Mwaka huu ya siku hii iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa(UNICEF) ni "Watoto kabla ya kitu Chochote". Kauli mbiu hii inalenga moja ya haki muhimu za watoto, kama haki ya kupata maji safi na mazingira salama, ama haki ya kupata elimu bila kusumbuliwa. Katika kipindi hiki tutazungumzia juhudi za kulinda haki za watoto.