Rais Xi Jinping wa China ahutubia kongamano kuhusu ujenzi wa “Ukanda Mmoja, Njia moja”
2021-11-19 20:28:04| cri

Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amehutubia kongamano kuhusu ujenzi wa Ukanda Mmoja, Njia moja, akisisitiza umuhimu wa kusukuma mbele maendeleo ya kiwango cha a juu ya ushirikiano kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia moja” kwa malengo ya kuleta matokeo ya viwango vya juu, kuwanufaisha watu na kuleta maendeleo endelevu