Rais Xi Jinping kuhudhuria na kuongoza mkutano wa kilele wa maadhimisho ya miaka 30 ya uhusiano wa mazungumzo kati ya China na ASEAN
2021-11-19 15:08:16|
cri
Rais Xi Jinping atahudhuria na kuongoza mkutano wa kilele wa maadhimisho ya miaka 30 ya uhusiano wa mazungumzo kati ya China na ASEAN utakaofanyika kwa njia ya viteo mjini Beijing tarehe 22 Novemba.