Je, nani anasema moyo mwepesi wa kutii wa watoto unaweza kulipa mapenzi mazito ya mama?
2021-11-22 14:29:01|
CRI
Huu ni mstari wa shairi uliotungwa na Meng Jiao wa enzi ya Tang unaoelezea jinsi wachina wanavyothamini familia. Washawahili husema “hakuna kitu chenye thamani ya kulipa malezi ya mama”.